Rejea kwenye mamaliko ya uzi huu - Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo
Hadi Leo hii pesa zetu bado hatujalipwa na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa zaidi ya kuzungushwa tu.
Tunaomba mtusaidie wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro...
Anonymous
Thread
chuo kikuu mzumbe
malalamiko ya refund
malalamiko ya wanafunzirefundwanafunzimzumbe