MONDAY MAY 24 2021
Haijawahi kuwa rahisi kwa familia nyingi kumaliza mashauri ya mirathi kwa amani, hata pale inapotokea marehemu alionesha mgawanyo wa mali zake katika wosia aliouacha.
Tafrani na hali ya kutoelewana huwa kubwa zaidi kama aliyefariki na kuacha ama kutoacha wosia alikuwa tajiri...