Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA
===================
Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika Sekretarieti ya chama cha CHADEMA, moyo wangu umejaa shukrani na furaha. Nimekuwa shahidi wa wenzangu...