Rais wa Rwanda Paul Kagame amemteua aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba Bw. Regis Uwayezu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo Rwanda.
Mwezi Julai mwaka 2024 klabu ya Simba ilimtambulisha Bw. Francis Regis Uwayezu kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo lakini miezi minne baadae [Novemba]...