Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani.
Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya Chadema kulikuwa na vuguvugu sii la kitoto. Mnyika ni shahidi.
Mwenyekiti alikuja na mapendekezo...
Haya ni maoni yangu binafsi,
Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
Nadhani mnakikumbuka kisa cha mgiriki aliye sema serikali yote kaiweka mfukoni wakati wa utawala wa Mwl nyerere,
Matokeo ya jambo hilo ni nchi kukithiri kwa Rushwa,ubadhirifu wa mali za umma,dili chafu , madawa ya kulevya ,utekaji na mauaji ambayo wakati mwingine yanaweza yakawa si utekaji au...
UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA
Mobhare Matinyi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali.
Dar es Salaam
Juni 4, 2024.
Saa 8:00 Mchana.
Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
Hotuba ya Dr Samia jana imenipeleka mbali sana kutafakari kama tungefanya makosa tukaikabidhi nchi kwa Lisu ingekuwaje.
Samia wewe ni Muungwana nimekuelewa vizuri, sisi ambao tumepata bahati ya kuziona nyakati zote za uongozi wa Nchi hii tunauona mzigo mkubwa uliojitwisha wa kuiongoza Nchi...
Kuna kitu kimenishangaza sana, nilikua na safari yangu ya kutoka Nilipo kwenda Kigoma, nilisafiri na basi la Adventure, wakati tukiwa tumepita Kibondo dereva akaanza kupiga soga na sisi Abiria tuliokua karibu na yeye kuhusu Makampuni ya Magari namna wanavyodhoofishana.
Basi akasema kwamba...
Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo walikamatwa na Kupelekwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa Maelekezo ya Muliro. Gari lenye mzigo...
TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969
''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama jumuiya inayowakilisha Waislam wote wa Tanzania Bara.
Mwaka mzima wa 1969 Adam Nasibu na kamati ya watu...
BILALI REHANI WAIKELA (1932 – 2022)
Maneno hayo hapo chini yapo katika utangulizi wa kitabu cha Abdul Sykes:
‘’Napenda kutoa shukrani maalum kwa Bilal Rehani Waikela, muungwana wa Kimanyema na Muislamu wa kweli.
Waikela akiwa na umri wa miaka 25 mwaka 1955, alikuwa mmoja wa waasisi wa TANU...
BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955
‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini.
Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao...
MZEE BILAL REHANI WAIKELA AMELAZWA MOI GOROFA YA 2 CHUMBA NO 2 KITANDA NO. 5
Ndugu zangu leo asubuhi nimejaaliwa kwenda MOI kumjulia hali Mzee Waikela.
Nimemkuta macho na namshukuru Allah kwa hili kwani ningemkuta kalala nisingethubutu kumwamsha ingebidi niondoke.
Mzee wetu amepokelewa jana...
==
"Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa
"Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni...
Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu kimbelembele kuendesha mazungumzo.
Nionavyo mimi viongozi wabinafsi wamejaa kwenye ranks za CCM na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.