Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewaondoa wasiwasi watanzania rasilimali za nchi ziko salama kabisa, zile habari zilizokuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ni uzushi
Namnukuu
“Taarifa ile ambayo ilisambaa...