rehema

  1. BOB LUSE

    Rais kapata Uongozi kwa neema na rehema za Mungu, ajiepushe na Kiburi!

    Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi. RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...
  2. King Jody

    Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  3. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  4. Stephano Mgendanyi

    bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
  5. M

    Mwanaharakati Rehema Mugogo akiwa amepozi

  6. Roving Journalist

    TANZIA Dar: Pacha Rehema aliyebaki baada ya kutenganishwa naye afariki dunia

    Mtoto Rehema ambaye ni pacha aliyekuwa amesalia baada ya mwenzake waliyetenganishwa kufariki dunia, naye ameaga Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jana Agosti 11, 2022. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa MNH, Aminiel Aligaesha amesema: "Ni kweli amefariki jana saa tano...
  7. COMOTANG

    Viongozi ombeni ushauri kwa Rehema Nchimbi kuhusu suala la wamachinga

    Nina shauri kwa suala la Wamachinga, Viongozi mtafuteni Rehema Nchimbi awasaidie ushauri na jinsi ya kuweka utaratibu mzuri katika kuwapanga machinga. Kwani Mama huyu aliweza kutenga maeneo, kupanga na kuweka utaratibu mzuri Sana kwa machinga wa Dodoma, kipindi akiwa Mkuu wa mkoa. Tulifanya...
  8. Fatma-Zehra

    Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na...
  9. rehema shabani

    colonial rule

    plz help me this question wana jamii forum. With examples from east or west Africa,show how company rule helped to create European colonization in Africa.
Back
Top Bottom