rekebisha usukani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Je, huu usukani naweza kuurekebisha ukakaa sawa?

    Hii gari iligonga, baada yakugonga nikama AIR BAG ilitaka kuchomoka lkn haijachomoka. Kuna fundi amenishauri ninunue usukani mwingine lakini kwa macho yangu mimi japo sio fundi naona kama panarekebishika japo sina uhakika, sasa nimeleta kwenu watalamu mnishauri. Nipo Mbeya
Back
Top Bottom