Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024.
Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi ya dunia wakati wa mashindano ya Dunia ya kuinua Magogo 2024 (WLLC)yaliyofanyika Birmingham...