Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR).
Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa.
Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa, leo Desemba 2, 2024, amesema Tanzania itakuwa nyuma ya China, Uhispania, Japan katika kuwa na reli...
Haiwezekani hata mwezi haujapita watu washaanza kulalamikia SGR, yaani uhamasishaji wote wa kwanini hii ni reli ya kisasa. Kumbe bado ina watu wa kizamani!! Wanafikra za kizamani.
Imenikumbisha Wabongo tunavyopenda kuzindua vitu. Angalia vitu vilivyozinduliwa kwa mbwembwe za mbio za mwenge...
Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia...
Taarifa ya TRC imesema kwasasa treni ya mwendokasi inabeba wastani wa abiria 4000 kwa siku, hizi ni sawa na trip 70 za mabasi yenye uwezo wa kubeba abiria 57 kwa wakati mmoja.
Kituo kinachofata kitakuwa Dodoma pale mambo yatakapokamilika. Abood na Shabiby nadhani watakuwa waathirika wakuu...
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi.
Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na baade Afrika ya Kati kupitia Sudani Kusini. (Kupitia mpango wao wa The Northen Corridor)
Wiki hii...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inawatangazia taarifa ya maamuzi ya Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini kuhusu nauli za abiria wa daraja la kawaida kwa Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Makutupora.
Nauli hizi ni baada ya kufanyia kazi...
Tanzania inatafakari Mpango B kwa ajili ya mradi wake wa SGR huku kampuni ya Uturuki ikiachwa. Mawaziri wa fedha kutoka Tanzania na Zanzibar wameanza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa reli ya standard gauge (SGR) baada ya mkandarasi mkuu wa kampuni ya Uturuki Yapi Merkezi kuonyesha dalili...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika miezi michache aliyokaa kwenye Serikali ya Awamu ya Sita, ameona mambo mengi ambayo huko nyuma hayakuwa yakifanyika lakini sasa hivi yanataka kuanza, akisisitiza hatokubali
Amesema hayo baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Reli...
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
Shirika la Reli Tanzania – TRC linatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya kisasa - SGR kipande cha Makutupora – Tabora (KM 371) na Tabora – Isaka (KM 162), hivi karibuni ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Ujenzi wa SGR...
Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira.
Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
February 5, 2020
Kilosa, Tanzania
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
MAY 27, 2019 HABARI,
Na Paschal Dotto-MAELEZO
Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu...
Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
Serikali ina wazo zuri.
Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri.
Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :-
1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?)
2. Reli zetu haziko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.