reli ya sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania yasaini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya SGR (Kigoma - Burundi) kwa Tsh. Trilioni 5.6

    Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza mkoani Kigoma hadi Musongati nchini Burundi. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa kwa upande wa...
  2. Ikikupendeza Rais Samia, tunaomba SGR Dar es Salaam - Arusha

    Miji ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha ni kanda muhimu sana kiuchumi na kwa pamoja inachangia kiasi kikubwa cha pato la taifa kutokana na kilimo, biashara hasa ya madini, na utalii. Ukizingatia Mlima Kilimanjaro, Oldonyo Lengai, Mlima Meru, Mbuga ya Wanyama Pori ya Saadani, Mbuga ya Wanyama Pori...
  3. Picha: Hujuma nzito katika miundombinu ya reli ya SGR

    Bado tuna safari ndefu mno. Pichani ni hujuma zinazofanyika kwenye miundombinu ya Reli ya Kisasa (SGR)
  4. A

    DOKEZO NSSF inapanga kumpelekea Mahakamani Mkandarasi Mkuu wa Reli ya SGR, Yapi Merkezi

    Mkandarasi Mkuu wa Reli ya Kisasa (SGR), Kampuni ya Yapi Merkezi anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa kile kinachodaiwa kutowasilisha fedha za michango ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ya Wafanyakazi wa Ujenzi wa Reli ya SGR kwa muda wa zaidi ya Mwaka mmoja licha ya kuwa Wafanyakazi wamekuwa...
  5. Marekani yaimulika Tanzania katika mbio za kushindana na China kumiliki Madini Mkakati

    Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela. Huku Marekani ikiimarisha uhusiano na Tanzania, mipango ya kujenga miundombinu kando ya ukanda wa reli ya...
  6. Vita ya Kiuchumi: Ningekuwa Rais wa Tanzania ningeanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutokea Bandari ya Tanga hadi Kagera, Rwanda na Uganda

    Amani iwe nanyi wanabodi! Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR. Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo. Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
  7. SGR imetutoa ushamba Wabongo, kila mtu anajipiga picha Station

    Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma photo mpaka mimi ni mmojawapo niliyejipiga picha aisee ama kweli Serikali inatutoa ushamba kupitia...
  8. J

    Rais Samia: Serikali tuna Mpango wa Kufungamanisha Reli ya SGR na Reli ya Tazara Ili kurahisisha Usafiri wa Watu na Usafirishaji Bidhaa

    Rais Samia Suluhu Hassan Serikali amesema Serikali ina mpango wa kuzifungamanisha huduma za Usafirishaji wa Treni za Reli ya TAZARA na za Reli ya Kisasa za SGR ili kuongeza ufanisi na kurahisha Usafirishaji nchini. Rais Samia amesema hayo akiwa Mikumi mkoani Morogoro katika muendelezo wa ziara...
  9. M

    Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania

    Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaingia katika enzi mpya ya maendeleo na ustawi kwa kuzindua huduma za treni za Reli ya Standard Gauge (SGR). Mafanikio haya makubwa yanaonyesha dhamira thabiti ya serikali kuboresha miundombinu ya taifa, kuongeza uunganishaji, na...
  10. Serikali yalipa fidia ya kupisha Reli ya SGR kwa Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo (Uyui-Tabora) waanza kuhama

    Baada ya JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui mnamo Mei 2024 kuwa Serikali haijawalipa malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR, imeripotiwa wahusika hao wamelipwa. Hoja la malalamiko ya awali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…