Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=6yQwHaO3rEA
MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA...
Rasi Samia anafanya hadaaa za kiwango cha juu kabisa, na pia anacheza na akili za wajinga kwenye hii Jamhuri ilio jaa wajinga.
Report ya CAG mwaka huu watuhumiwa wote wamesamehewa kwa asilimia 100 kwa kuombewa msamaha na kamati ya CCM ya kuombea watuhumiwa mbalia mbali msamaha kwa raisi...
Sijawahi kusikia CAG akielezea Taifa linafaidikaje na Utalii kwenye Mlima Kilimanjaro
Labda CAG mstaafu mh Uttoh atusaidie kutupa data kupitia taasisi yake I Uwajibikaji
Ahsanteni Sana
Mlale Unono 😃 😄
“A Lesson for Tanzania”
Introduction
Taxation plays a significant role in generating government revenue. In Tanzania, taxes fund essential services such as healthcare, education, and infrastructure. However, the efficiency and effectiveness of tax collection and utilization are often...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka .
Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao.
Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
Haiwezekani kabisa CAG afanye kazi yake akabidhi wezi wa fedha zetu, alafu tuendelee kupanga bajeti nyingne, ili tuwape fursa wakaibe tena!!?
Nawaomba wote wenye uzalendo wa kweli tuungane pamoja tufanye maandamano ya amani ili kuelezea hisia zetu kwa ajili ya kulilazimisha bunge ili lijadili...
Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Miongoni mwa mambo muhimu
CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
Kwenye mazingira ambayo wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi, na hata katika ugumu huo wanatozwa kodi na tozo, halafu anapatikana wa kula pesa hiyo iliyopatikana kwa taabu, na watoaji wa pesa wakipitia hali ngumu za kimaisha, hasira inakuwa kubwa sana. Na katika hasira, mara nyingi hekima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.