republicans

College Republicans are college and university students who support the Republican Party of the United States. Many members belong to the organization College Republican National Committee (CRNC), College Republicans United (CRU), or various independent statewide organizations and campus clubs. The College Republicans are known as an active recruiting tool for the party and have produced many prominent Republican and conservative activists and introduced more party members to the Republican party than any other organizations in the nation.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Eti Beyonce anatishia kuto-perform katika majimbo yenye ngome kuu za Republicans

    Unajua hawa wasanii wanapokuwa celebrated na kuwa glorified inafika point wanajiona wao ni Mungu-mtu Sasa anadhani asipoenda kufanya show watakufa njaa?
  2. G

    Chama cha Donald Trump "Republicans" wameshinda kura nyingi za kuongoza Bunge la Seneti

    Mods tafadhalni msiunge uzi huu popote, bunge la Marekani ni mhimili tofauti na uraisi Kuna mabunge mawili marekani, Bunge dogo ni Baraza la wawakilishi na Bunge kuu ni Seneti. Tayar Senate na urais vipo chini ya Republicans, Bado House / Baraza la wawakilishi ili kuikamata nchi kikamilifu...
  3. P

    Je, hii koswa koswa ya Trump ni mpango wa Republicans?

    Kwa sisi tunaofutilia siasa za dunia kwa maslahi mapana ya nchi yetu, macho yetu yanaangalia kwa umakini kampeni za urais zinazoendelea Marekani. Siasa ina mambo mengi. Kuna michezo michafu pia hutendeka. Vyama viwili vya Democrats na Republicans wanachuana vikali kwenye mbio za kusaka urais...
  4. Tea Party

    Kitakachompa urais Trump mwaka huu ni sakata la wahamiaji haramu

    Habari zenu wanajamvi. Mko vizuri? Kama unafuatilia jukwaa hili basi bila shaka utakuwa unafahamu mengi kuhusu mbio za uchaguzi zinazoendelea Marekani. Ni Trump Vs Kamala. Hii hata watoto wa 2000 watakuwa wanafahamu. Wengi wasichofahamu ni kuwa karibu kila opinion poll Marekani inatabiri kuwa...
  5. Yoda

    Wapenzi wa Palestina, rafiki yenu ni Democrats sio Republicans

    Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na kutohudhuria hotuba yake huku wabunge na maseneta karibia wote wa chama cha Republicans wakihudhuria.
  6. Yoda

    Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  7. BARD AI

    Democrats wafanikiwa kutetea udhibiti wa Bunge la Seneti

    Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka Wabunge wa Republicans kufanya uamuzi wa kujua wao ni nani kwenye siasa za Marekani. Pamoja na...
Back
Top Bottom