Habari za muda waungwana wa hapa jamvini........
Hakika ujana una harakati na changamoto nyingi sana.......
Kijana
Umekuwa katika mazingira magumu huku ukiipata elimu kwa tabu kutokana na uchumi wa wazee wako......
Umeyashinda magumu hatimaye umeihitimisha safari yako ya kielimu na kuingia...