reverse

  1. Mad Max

    Tesla Cybertruck imeonekana katika kiwanda cha magari cha BYD China. Wachina wanataka kufanya reverse engineering nini?

    Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita imeonekekana kiwanda cha Magari cha BYD. Ilianza kwa kupark nje ya parking ya kiwanda na kua...
  2. profesawaaganojipya

    Imewaka Engine check,alarm ya reverse ina mafua,mshale wa rpm unacheza sana,engine wakati mwingine inamis kuwaka

    Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo. Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo hayakuwepo,Engine chek imewaka,alarm ya reverse gia ina koroma,mishale ya dashboad hasa rpm unajiless...
  3. M

    4R = 4 x Reverse

    1R =Reverse katika usalama wa wananchi TLS wametoa taarifa ya waliotekwa, zaidi ya asilimia 90 ya walioripotiwa kutekwa katika ripoti hiyo, wametekwa toka mwaka 2021 kipindi cha utawala wa awamu ya 5(b) ya Samia, hii inaonyesha hali mbaya ya usalama wa wananchi, na hii ni reverse mbaya zaidi...
  4. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  5. TAJIRI MSOMI

    Nahitaji kitabu hiki "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"

    Wakuu, Nahitaji kitabu hiki: "Alkaline Herbal Medicine: Reverse Disease and Heal the Electric Body"
  6. Jemima Mrembo

    Bila uchawi wa kurudisha basi reverse, Simba ingefungwa O-1O

    Lile basi la Simba Lilipokuwa likirudi nyuma kwa kasi lilikuwa llinapunguza idadi ya magoli. Jana mnyama angetotolesha vitoto kumi
  7. FRANCIS DA DON

    Haba na haba hujaza kibaba, ni msemo niliyoutumia kwa kinyume kwa mafanikio makubwa sana

    Suala hili si la kifalsafa hata kidogo, ni suala la uhalisia wa moja kwa moja. Mfano ukiambiwa mtu mwenye kilo 50 anaweza kuinua mzigo wa tani 50, kwa akili za haraka haraka utabisha, lakini kwa kutumia ‘jeki’, mtu huyu anatumia nguvu zake zile zile, ila tu anazitoa kidogo kidogo hadi ile tani...
  8. kali linux

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya starehe za bei rahisi na kuongezeka kwa umasikini, the reverse is also true

    Hello bosses Hapa duniani nadhani moja ya kitu kibaya na chenye madhara makubwa ni umasikini, hasa hasa umasikini wa kiuchumi tukiweka pembeni ule wa kiakili. Umasikini ndio uongeza chuki kwenye jamii, husababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe na maswaibu kibao. Kuna vyanzo vingi vya umasikini...
  9. MEXICANA

    Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kutokulipwa posho yao, (is it a reverse reaction?)

    Nawasalimu kupitia ,Newton's third law of motion which states that, "To every action there is an equal action but opposite in direction" Kuna taarifa zimeanza kuvuma kuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi hawatapata chochote maana kazi waliyokuwa wametumwa kuifanya imefikia tamati,yaani the game...
Back
Top Bottom