1R =Reverse katika usalama wa wananchi
TLS wametoa taarifa ya waliotekwa, zaidi ya asilimia 90 ya walioripotiwa kutekwa katika ripoti hiyo, wametekwa toka mwaka 2021 kipindi cha utawala wa awamu ya 5(b) ya Samia, hii inaonyesha hali mbaya ya usalama wa wananchi, na hii ni reverse mbaya zaidi...