Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...