rice cooker

  1. C

    Tunauza mashuka, mapazia, zulia, neti, coffee table, pressure cooker, rice cooker, chapati maker, 🍽️ set na vingine vingi

    Habari zenu boss zangu. Karibuni sana, hapa utajipatia bidhaa kama vile mashuka, mapazia, mazulia, neti, mataulo, saa, picha za ukutani, coffee table, d, vyombo kama sufria, hotpot, dinner set n.k, bidhaa za umeme kama vile pressure cooker, air fryer, oven, mabegi ya safari n.k 🧳🛍️🛒 .Dar maeneo...
  2. M

    Msaada: Wapi nitapata rice cooker yenyewe uwezo wa kupika angalau kilo 4 Kwa wakati Mmoja?

    Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
  3. Rice cooker 1.8 l itaweza tumia umeme wa units 14 sawa na 5000 kwa siku 30

    HABARI WANDUGU NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ? AU NI KUBWA SANA , MAANA NAHITAJI SET BUDGET YA KI GHETO GHETO .....
  4. B

    Msaada Rice cooker ipi nzuri yenye uwezo wa kupika mchele kilo moja na nusu?

    Wadau kwema? Aisee hii wiki ya pili sasa kila nikijaribu kupika wali nachemka. Mara siku nyingine napatia mara siku nyingine kinatoka kiini. Leo kimetoka kiini nimekumbuka nilipokuwa chuo pale udsm niliwahi kuwa natumia rice cooker kwenye umeme wa bure wa mabibo hostel. Nahitaji rice cooker...
  5. Kauziwa rice cooker Tsh. 300,000 na Waturuki, kaikuta inauzwa Tsh. 140,000 Mlimani City. Anawaza amalizie hela yao ama?

    Jamani mji mtamu huuu acha tu, kuna waturuki wanapita majumbani mwa watu. Sasa mdada mmoja hamad akapenda rice cooker inapika na nyama nk, akambiwa laki 3 kwa mariposa ya miezi 4. Majuzi kapita mlimani City kakita ile ile 140,000 kilichomsaidia alipiga tu picha na bei iendelèe kumuumiza. Jana...
  6. SOLD: Rice cooker 1.8L ipo sokoni Tsh 30,000/-

    Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single. Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG. BEI KITONGA CHA 30,000/- Nipo Tegeta Wazo Hill...mawasiliano njoo PM nikuletee.
  7. umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  8. Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

    Wadau wengine ambao wanahitaji kujua kuhusu matumizi ya rice cooker Natumai wazima ndugu zangu,naomba mnielekeze namna ya kutumia rice coocker. ---- ---- Ufafanuzi kuhusu matumizi mbalimbali ya rice cooker Kila kitu unachotumia jikoni mwako kinaweza kufanya kazi zaidi ya moja inategemea na...
  9. K

    Nauza fridge, kabati, feni, zulia na rice cooker

    Habari zenu wadau wa Jamiiforums, matumaini yangu kuwa hamjambo, wakati tukielekea kuumaliza mwaka 2018 kuingia 2019 na zikiwa zimebaki siku chache, nikaona ni vyema niwatangazie kuwa nauza vitu tajwa hapo juu. Fridge aina ya PINETECH milango miwili = Tsh420,000(Mazungumzo yapo), Kabati jeusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…