SAKATA la ndugu wa Richard Bukombe mkazi wa Miyuji jijini Dodoma, aliyefariki dunia kwa madai ya kugongwa na gari la Jeshi la Magereza limechukua sura mpya baada ya wanafamilia kumtaka mkuu wa jeshi hilo kutowakingia kifua wahusika.
Pia wameiomba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na...