Kuna msemo wa waswahili kuwa mafahari wawili kamwe hawakai zizi moja.
Hiyo ilijionyesha Iringa kati ya DC Kasesela na Mbunge mchungaji Msigwa.
Leo hii Kasesera tayari amesha hamisha kila kilicho chake na kurudi kwao iwambi Mbeya na kumuacha Mch. Msigwa akifahidi ulanzi wake mjini Iringa.