Wasalam, nakumbuka miaka ile 2005 iliibuka kambuni ya kufua umeme ya Richmond. Kambuni hii baadae ilikujagundulika kuwa ni kampuni hewa kitu kilichopelekea aliekua waziri mkuu wakati ule ndugu lowassa kujiuzuru uwaziri mkuu.
Baadae serikali hii ya ccm ilibadili jina la Richmond kuwa symbion...
Jamani watanzania tumechoka kusikia kelele za Lowasa ambaye alikuwa ktk serikali na akajivua gamba kwa ukosefu wake wa maadili. Lowasa analaumu serikali imeshindwa kushughulika swala la ajira kwa vijana, lakini kwa mtazamo wangu nadhan huu niwakati mwafaka kwa mkaguzi mkuu wa serikali kutulekea...
*Aapa kamwe hatakubali serikali kuilipa Dowans
*Asema iliirithi Richmond isiyotambuliwa kisheria
*Wanaharakati watangaza siku 10 za maandamano
*Yaelezwa TANESCO kukata rufaa changa la macho
Na Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu kusajili tuzo ya malipo ya sh. bilioni 94...
Ndugu zangu, miezi michache iliyopita, ndugu yangu ambaye ni mbunge alinipa taarifa kuwa kuna baadhi ya wabunge waliokuwa wameongwa pesa nyingi kuitetea Dowans na kusaidia kufanikisha uuzwaji wake. mmoja wapo ya wamiliki alikuwa akisafiri kwenda Dodoma na sanduku lililojaa pesa na kuwagawia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.