My take
Kama kuna jambo mwenda zake aliinusuru nchi hii ni kuitoa kwenye makucha ya mataperi wa nishati, tulikuwa tumetizamishwa kibra na wala hatukuwa na nguvu za kujinasua kupitia mahakama za kimataifa, maana tayari tulikuwa tumejinyonga kwa kamba yetu wenyewe kupitia mikataba ya kimangungo...
Mwakyembe pogoes to debase fellow lawyers as callow demagogues during the fateful constitutional debacle but most of his roadside bombshells tell us more about himself than his intended victims. He holds no grudge barred when he contemptuously criticized lawyers behind the anti-CCM...
Date::8/30/2008
Kuondoka kwa Kampuni ya Richmond/Dowans sasa kwabakia kitendawili
Na Kizitto Noya
Mwananchi
SIKU tatu baada ya serikali kuelezea utekelezaji wa mapendekezo ya bunge kuhusu mkataba wa Richmond Development Company, utata umegubika hatma ya mitambo ya kampuni iliyorithi mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.