Heshima mbele watanzania. Katika kibwagizo cha kile kipindi cha dakika45 kinachorushwa na itv, waziri sitta anatupiwa swali na uchokozi kuhusu msimamo wake kwenye swala la Richmond. Bila kumumunya maneno anabainisha kuwa Richmond ni kikundi cha "wahuni" wachache na hivyo si haki wala wajibu wa...