rijali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 1academ

    Dume rijali la JF. Hajibu SMS zangu, nifanyaje jamaniii?

    mimi ni dume rijali, la mbegu, la j.f miaka 35 sijaoa,miezi kama miwili iliyopita nikampata binti baada ya kuongea nae akakubali tuwe wachumba ila muda mwingi sipo nae karibu anaishi kwa wazazi wake.. Tatizo linakuja nikimpigia simu anajibu kwa mkato, ana kazi. inafika kipindi namtumia sms...
  2. Technophilic Pool

    Mwanaume Rijali anaemuogopa Allah hawezi kuwa na mwanamke mmoja

    Imekuja na kutoka kama ilivo
  3. sky soldier

    Neno "Unaniimiza", vilio na vitendo vya kuonyesha anaumia ndivyo hupandisha midadi wanaume wengi kujiona rijali, Je wanaume kwa asili ni wabakaji ?

    Maneno ya kuonyesha maumivu, mikunjo ya sura ya kuumia, machozi, kilio cha maumivu huwa vinapagawisha sana wanaume na kuwaongeza midadi kwamba wao wana moto mkali. Ila pia kuna kufeki maumivu, wanaume wengi hasa wanaotoka vijijini kuja mjini wanakuwa wahanga wakikutana na wadada wajanja...
  4. Teslarati

    Kilichotokea weekend hii kati ya mimi na binti alokula nauli yangu wiki mbili zilizopita. Mabinti kuweni na adabu na hela za wanaume rijali, mtaumia

    Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
  5. Equation x

    Sifa za mwanaume rijali

    Sifa za mwanaume rijali Lazima ajue kushawishi (kumshawishi wanamke na akuamini) Lazima atembee kiume; sio kwenda upande upande Lazima ajue kubeba majukumu Lazima awe na sauti kwa mkewe/ mpenzi wake Lazima awe na msimamo Havai vitu wanavyovaa wanawake Hafanyi vitu wanavyofanya wanawake Hakai...
  6. E

    Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

    .
  7. Superbug

    Mimi ni mwanaume rijali ninaeogopa madudu washawasha na umbali wa kutoka juu hadi chini

    Kusema ukweli Mimi ni rijali na vigezo vifuatavyo vinathibitisha Hilo. Nina six pack Mrefu Mweusi Katili kidogo Sijawahi kupigwa kwenye ngumi. Nk Ila udhaifu wangu ukitaka nilie kama mtoto mdogo nirushie dudu washawasha lenye manyoya na likitembea linajinyonga nyonga. Uoga wangu wa pili ni...
Back
Top Bottom