Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...