Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
Chama cha Upinzani cha UTM kimekataa Ripoti ya Uchunguzi wa Ajali ya Ndege iliyosababisha Kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais Saulos Chilima na watu wengine 8.
Ripoti hiyo iliyowasilishwa na Serikali kutoka Ofisi ya Uchunguzi wa Ajali za Ndege (BFU) ya Ujerumani, imeonesha ajali ilitokana na hali...