Ripoti ya usalama wa nchi ya kenya ya mwaka 2024 imeonesha kuwa kuna matukio zaidi ya 7,100 vya ukatili wa kijinsia yaliyorekodiwa tangu Septemba 2023.
Miongoni mwa matukio hayo, kesi 100 za mauaji ya wanawake zimeripotiwa tangu Agosti 2024.
Mmoja wa waathiriwa wa ukatili huu, Sarah Wambui...