Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili.
Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.