Serikali imemfikisha katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha Afisa mauzo kutoka kampuni ya royal colour paint limited anayejulikana kwa jina la Silvester Charles akikabiliwa na makosa matatu utakatishaji fedha, kutoa risiti zisizo halali za malipo pamoja na kuisababishia mamlaka ya mapato...