Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa .
Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
PUNGUZO LA BEI.
Tunapenda kukujulisha kuwa katika kufunga mwaka, sasa utapata VFD kwa 250,000 tu. VFD ni mashine ndogo inayokuwezesha kutoa risti halali za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi popote pale ulipo.
Faida zake.
Znakubalika 100% na TRA.
Zinatoa risiti za VAT na zisizo VAT.
Zinafaa...
VFD ni mfumo au App ambayo inakuwezesha kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu yako ya mkononi system hii inakuwezesha kutoa risiti ya softcopy na Hardcopy, kwa Hardcopy unatumia mashine ndogo Thermal printer ambayo unaiunganisha na simu kwa kutumia bluetooth na USB kwenye PC.
Sasa kila kitu uwa...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshangazwa na tabia ya baadhi ya Wananchi kutodai au kutoa risiti kisa yeye Rais hajawaambia wafanye hivyo akisema huo ni wajibu ambao hauhitaji hadi Rais aseme.
Akiongea leo October 04,2024 Ikulu Jijini Dar es salaam wakati akizindua Tume ya Rais ya...
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani taka 3,000/= ulinzi 2000/=
Walijaribu kunipa risiti za kawaida nikawakatalia nikawaambia waje na...
Wengi wa wafanyabiashara wamegoma nchi nzima na moja ya ajenda yao ni ukaguzi wa risiti za EFD zisitishwe mara moja. Mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa na asilimia 95 ya wafanyabiashara wa nchi hii hawatoi risiti halali.
Pale unaponunua bidhaa ukiomba risiti toka kwa mfanyabiashara ni mgogoro...
Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea
=======
Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
efd
finance bill
finance bill 2024
kitila mkumbo
mgomo kariakoo
muswada sheria ya fedha 2024
mwigulu nchemba
risitizaefd
tra
tra tanzania
wizara ya fedha na mipango
wizara ya viwanda na biashara
Hivi karibuni kumeibuka Hoja nyingi juu ya uhalali wa Risiti za EFD, kwa sasa EFD ndio risiti maalumu ya Bidhaa kuuza na kununua popote pale Nchini. Lakini risiti hizi zina utata kutokana na uhalali wake.
TRA wana tovuti ya kuhakiki risiti hizi za EFD ambayo ni TRA RISITI lakini asilimia 80%...
VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
Habarini za wakati huu.
Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee kwa Kiswahili chepesi ili nielewe nini maana yake na nini faida zake na pengine ata hasara zake...
HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
bei nafuu
bora
dunia
efd
faida
kisasa
kompyuta
kuhusu
kujiunga
kukamata
kutoa
kutumia
machine
mfumo
msingi
nchi
nchi nzima
okoa
risitirisitizaefd
salama
sifa
simu
tra
tukumbushane
uokoe
usumbufu
vfd
wafanyabiashara
wakati
wote
zaidi ya
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:
NAKALA YA TIN CERTIFICATE
NAKALA YA KITAMBULISHO
BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
Soko la mwanjelwa mkoani Mbeya ni kama Soko la Kariakoo kwa Dar es Salaam!! Ni kama Business District. Biashara ya mabilioni ya Shilingi inafanyika hapa kilasiku! Lakini kwa uchunguzi wangu wafanyabiashara hawa hawatoi kabisa risiti za EFD!
Nimeingia sokoni hapo zaidi ya Mara tatu kufanya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuanza kutumia sheria katika kutoa adhabu kwa wale wote watakaokaidi kutoa au kudai risiti kwa kuwa wamekuwa wakichangia upotevu wa mapato ya Serikali hali inayodidimiza uchumi na kukosa maendeleo ya nchi.
Kamishina Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata...
Kuna vyanzo vingi vya mapato ambvyo mnajifanya hamvioni
1. Tiketi za mabasi kule hamna basi hata moja linalotoa tiketi ya EFD kwa wastani Tz watu 100k wanasafiri hapo ukizidisha kwa VAT kwa kila nauli na kwa siku 30 nadhani mtaona bei gani inapotea.
2. Uuzaji wa magari binafsi
Kila siku watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.