risk taker

  1. The bump

    Umeshawahi kutake risk gani unayoikumbuka?

    Kila Mtu kwenye maisha kuna wakati anaamua kucheza kamari na maisha yake anaona Liwalo na Liwe, ikitiki Nimetoboa ikibuma FRESH (Kakubali Matokeo) Ni wakati gani kwenye maisha yako umeshawahi kuchungulia Kaburi au Hatari kwa kupenda wewe mwenyewe ukiamini matokeo yatakua chanya? Kuna HATARI...
  2. MAWEED

    Vitu ambavyo sio vya kufumbia macho ukiwa mwanaume

    Salaam, twende kwenye mada, Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya; 1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato. 2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa. 3. Kumpondea mwanaume mwenzako kwa mwanamke. 4. Kutokuwa na manzi/kutofanya mapenzi. 5. Kutovaa...
  3. Maji Chai

    Natafuta real risk taker tujilipue kufanya western union carding( dirty money is also money)

    Wakuu habari, Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha. Kama...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

    Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako. Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
  5. Termux Black

    Computer4Sale Karibu Tech Company ujipatie laptop, computer pamoja na accessories aina zote Kwa bei ya punguzo msimu wa Valentine

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless...
  6. Termux Black

    Maisha na biashara ya fedha mtandaoni

    Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona BITCOIN na ndio ulikua mwaka ambao ilianza kupata soko, bei ya coin moja ilikua ni ndogo sana...
Back
Top Bottom