Kuna kero ambayo inatuumiza wananchi wa kawaida wilaya ya ILEMELA MKOA WA MWANZA kwenye ofisi ya usajili hasa wa vyeti vya kuzaliwa, tunachukua form tunajaza details zote ziko sawa msajili akifika yeye wakati wa kuziingiza zile taatifa kwa ajili ya kutoa cheti anakosea sana vyeti vinakuwa na...