MTEULE
UTANGULIZI
Mfalme Efroni alikuwa mtawala wa nchi ya Nahori. Mfalme huyu alimuoa binti wa mfugaji aliyeitwa Raheli na kujaaliwa kupata watoto kumi na wawili. Wote wa kike. Aliipenda sana familia yake. Mfalme huyu alikuwa mtawala mwenye huruma, hekima, busara na upendo. Uso wake...