SIMULIZI:REVENGE OF DERRICK
MTUNZI:WIZZY JOOH
SEHEMU YA KWANZA(1)*
"Walikuwa ni watu wema sana" "Ni kweli bamdogo lakini watu wabaya wamedhurumu nafsi za wazazi wangu na kwa ili bamdogo niahidi kuwa utawakamata hawa wauaji na utawafanya walipie kwa hili" "Nakuahidi Derrick nitawapata hawa...