Mnamo mwaka 2018, kuna kijana mstaarabu sana aliyeishia darasa la tano ambaye nilifahamiana naye kupitia mwalimu mmoja aliyekuwa amepanga nyumbani kwetu. Huyu kijana alikuwa anamletea mwalimu kashata siku za wikendi, hivyo mara nyingi alikuwa ananikuta nyumbani.
Kijana huyu alikuwa na haiba ya...