Wadau, sheria ya Tanzania hairuhusu uvutaji wa bhangi (sigara Kubwa) Lakini maduka mengi ya mtaani kuna bidhaa inaitwa Rizzla (zigi, paper, kamba) na majina mengineyo kama ambavyo wasela huita kwa misamiati ya kamusi zajo za kitaa.
Swali ni je? Kazi ya Rizzla ni nini mbona madukani inauzwa...