Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma kuhusu huyu mtu yamenishitua.
Kwa kifupi imeelezwa kwamba Bw Amsterdam ni wakili wa kimataifa...