Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi:
Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli.
Kupitia maneno yake na tabia zake humu mtandaoni (sijajua offline), anafanana wazi kabisa na Michael Scofield. Kwa nini...
Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pole na Kazi nzito ya kuliongoza Taifa letu pendwa hili la Tanzania. Mambo ni mengi sana ya kuendelea kusemezana na wewe kupitia jukwaa letu pendwa la Jamiiforums, muda ni kidogo sana kama kawaida yangu ya kuendelea kutoa ushauri...
Ukitaka kuwa Content creator umiza akili au ukiwa mzee wa kukopi jifunze kutoa Credit .
Robert Heriel Mtibeli anatafutwa Sana so wewe unajivisha uhusika wake na kujifanya ndo yeye unakuwa unamkosesha maokoto.
The guy is good content creator good advisor , people builder and psychologist so he...
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr
Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi.
Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga.
Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU.
Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na...
Salaamu wana MMU...
Binafsi napendekeza hawa members wawe couples kwa mwaka 2024 kama walivo wale wengine (siwataji mnawajua)......hii ni kutokana na uandishi na style yao ya uandishi..
Usisahau kutaja members unaona bado wana matching kuwa pamoja kutokana na miandiko yao kulandana ideas na...
Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo.
Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.