Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo.
Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida...