Wakuu,
Mwamba amejibu hili swali kijanja sana kama huna subra ya kumsikiliza hadi mwisho unaweza kumaindi kumbe katoa points za hela yote
Mwamba anaitwa Robert Majige kutoka Media Convergency na hapa alikuwa anazungumza kwenye kipindi cha Kasri la Kikeke cha Crown FM