Watu wengi wanapenda ulaji wa kuku waliopikwa kwa staili hii pasi na kujua asili yake.
Mzee Robert Makange (1928-1999)
Mzee huyu wengi hawamfahamu ila wanafahamu chakula chake alichokiasisi kilichopewa jina la Makange. Mzee Makange alikiasisi chakula hicho katika Bar yake ya Tropicana Club...