roberta flack

  1. Damaso

    MWANAMUZIKI ROBERTA FLACK (88) AFARIKI DUNIA.

    Dunia imepoteza gwiji na malkia mwingine wa muziki wa Jazz duniani mara baada ya jana Roberta Cleopatra Flack kufariki dunia akiwa na miaka 88. Flack atakumbukwa sana kwa wimbo wake mashuhuri ulijizolea sifa kadhaa uitwao "Killing me softly with his song". Roberta Cleopatra Flack alitupatia...
  2. Mkalukungone mwamba

    TANZIA Mwimbaji wa "Killing Me Softly," Roberta Flack, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Mwimbaji wa R&B Roberta Flack, anayejulikana zaidi kwa nyimbo "The First Time Ever I Saw Your Face" na "Killing Me Softly With His Song," ameafariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kuwa Roberta Flack, mtukufu na mwenye kipaji, amefariki dunia asubuhi ya leo...
Back
Top Bottom