Mwimbaji wa R&B Roberta Flack, anayejulikana zaidi kwa nyimbo "The First Time Ever I Saw Your Face" na "Killing Me Softly With His Song," ameafariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.
"Tuna huzuni kubwa kutangaza kuwa Roberta Flack, mtukufu na mwenye kipaji, amefariki dunia asubuhi ya leo...