Kamati ya Sera ya Fedha iliyokutana tarehe 18 Januari 2024 imetangaza Riba ya Benki Kuu kuwa asilimia 5.5 kwa robo ya kwanza ya mwaka huu ili kutimiza malengo ya kiuchumi katika kipindi hicho.
Kiwango cha Riba ya Benki Kuu kilichotangazwa kinaendana na malengo ya kuhakikisha kuwa mfumuko wa bei...
Mchango wa Sekta Kuu kwa Ukuaji wa Pato la Taifa Tanzania Mwanzoni mwa 2023. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wachangiaji wakuu wa ukuaji wa Pato la Taifa la Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 walikuwa:
1. Kilimo: Sekta ya kilimo ilirekodi kiwango cha ukuaji cha...
Bodi ya Chai ya Kenya jana ilitangaza kuwa ingawa mapambano kati ya Russia na Ukraine yameathiri shughuli za uchukuzi, lakini mapato ya chai ya Kenya inayouzwa nje yameongezeka kwa asilimia 10.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka jana kutokana na ongezeko la bei duniani...
Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19.
Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
Netflix Inc inasema mfumuko wa bei, vita vya Ukraine na ushindani mkali vilichangia upotezaji wa watumizi kwa mara ya kwanza katika zaidi ya muongo mmoja na kutabiri hasara kubwa mbele, kuashiria mabadiliko ya ghafla ya bahati kwa kampuni hiyo ambayo imestawi wakati wa janga hilo.
Kampuni hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.