"Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
Wadau hamjamboni nyote?
Sikia kauli ya kishujaa ya Mama Monica Masanja mkewe mchungaji Masanja
"Kusamehe ni lazima ndugu zangu, ili roho mtakatifu aweze kukaa ndani yako na kufanya kazi na wewe lazima usamehe, lazima uachilie"
Je unampa ushauri gani?
Njozi njema!
Hello!
Kama kitu mwanadamu anapaswa kujuta akikosa basi ni Roho Mtakatifu.
Kitu cha thamani mno.
Mtu aliyejawa Roho Mtakatifu na akaishi kwa kusikiliza sauti ya Roho Mtakatifu hawezi kusumbuka kwa jambo lolote.
Natamani watu wote wapate kipawa hiki cha Roho Mtakatifu ili wapate suluhisho la...
KUNDALINI
"Ni Mfumo wa Mazoezi ya Asili na ya kiroho, mazoezi haya hujumuika kama njia ya kuongeza nishati iitwayo KUNDALINI
Wakati wa kufanya mazoezi haya unahitajika kufuata Mlolongo mkali uitwao KRIYA
Katika Nadharia na Mazoezi ya YOGA hili ni Jina la Nishati ambayo iko ndani ya...
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani.
Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo.
Hivyo...
Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini
Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala
Na wanakuwa wengi kuliko daladala.
Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko...
Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
Habari za jioni Ndugu zangu.
Nnakiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nasoma shuhuda za watu hapa JamiiForums kuhusu Mungu Na ulimwengu Na roho.
Nimesoma shuhuda za watu wawili mpaka sasa Ramon Na Nelson Jacob. Nakiri shuhuda zao niliziamini na zimenifanya nipande viwango kiroho yani...
Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako.
Hata hivyo hivi...
Shalom Shalom.
Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu.
Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...
Miaka ya hivi karibuni kumetoka tabia ya viongozi wa serikali mara kwa mara kutoa kauli za ovyo zisizo na staha zinazoleta ukakasi katika jamii ila kwa sababu hatuna uwajibikaji, tatizo hilo tumeendelea kulilea.
Nilikuwa naangalia clip moja ya hivi karibuni ya Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”
“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo...
#Taarifabilamipaka
Elizabeth Nalem mwenye umri wa miaka 41 ambaye ni afisa wa mji wa Makutano Pokot Magharibi nchini Kenya, amewashangaza wengi baada ya kutangaza kuwa amefunga ndoa na Roho Mtakatifu.
Harusi hiyo iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Chelang’a mjini Makutano ilihudhuriwa na wapambe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.