MWANADAMU anapolala huota ndoto nyingi sana kwa usiku mmoja.
Na Sio usiku tu hata ukilala mchana utaota tu.
Kwa kawaida ndoto zipo za aina nyingi.
Mtu anaweza kuota sababu ya reflection yake na mihangaiko ya maisha.
Mtu anaweza ota ndoto sababu labda Kuna ugonjwa unamsumbua au ameugua muda...