NAJILIPUA
NI kweli ni trend- setter na alitengeneza top ten lakini kwa upande wangu, midundo mitano ninayoielewa zaidi kutoka kwake ni hii;
1. MTOTO WA KIUME - GEEZ MABOVU
Dundo linaanza, landlover linatekenywa kisha dundo linaanza taratibu na ule msauti mzito wa Geez na vile anavyopita kama...