roketi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilichoanguka Kenya ni "Rocket Separation Ring" au Pete ya Kutenganisha Roketi

    Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini, kwa kawaida asilimia 95 ya chombo chote ni sehemu hizo. Kwa kuwa roketi hutumia mafuta kwa haraka...
  2. Elon Musk anataka majaribio ya Starship yafikie 25, mwaka 2025

    Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA, Federal Aviation Administration ndio yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kurusha roketi za kibiashara...
  3. Kwanini wapalestina hukosa maji na chakula lakini huwa hawakosi roketi?

    Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana. Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
  4. G

    Pigo lingine kwa Hezbollah. Jeshi la Israel lamuua kamanda mkuu wa kikosi cha mizinga na makombora

    INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN Rest in Peace aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon. Ni baada ya Mossad kupata intelejensia sahihi kwa wakati sahihi na mahali sahihi, wakazifowadi...
  5. G

    Kitendo Cha Hezbollah kushambulia kuku wa Israel kwa Roketi za mamilion sio poa

    Nafikiri hata sponsor wao ajitafakari misaada anayowapa Kama inafikia lengo, unalengaje Banda la kuku Wakati adui wako anaua viongozi wa rank za juu Kila siku. Hadi second commander KUTOKA kwa first commender anayeongeaga kwa tahadhari akiwa zake shimoni Kama kuku aliona mwewe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
  6. Hivi lini mwisho HAMAS kurusha roketi kuelekea Israel? Jamaa wamezimwa kabisa

    Wakati hivi vita vinaanza jamaa walikua wanarusha rockets kwa mamia kila siku, ila sasa hivi hawaskiki tena, wakirusha roketi moja, hapo hapo ilipotokea panapigwa kipigo cha mbwa koko..... --- Defense Minister Gallant claims Hamas leader moving โ€˜from hideout to hideout,โ€™ IDF on his heels, as...
  7. HAMAS wamesakamwa hadi wamebakia kurusha roketi moja moja tena kwa kujificha sana

    Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya Israel. Wamefifia maana kuna siku zinapita hawajarusha chochote, wamepoteana na kusakamwa...
  8. Huwezi kuzuia rocket kwenda kama tu ikishawashwa (full power)

    Kama ilivyo kwa vyombo vingine basi na hata rocket pia nayo hutumia engine ili iweze kufanikisha utendaji kazi wake na mara nyingi tumekuwa tukiziona tu nakuzichukulia kawaida sana bila kujua maajabu yake. Lile bomba pekeake bila engine bado alijakamilika kuitwa rocket kwani zile engine...
  9. Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  10. M

    Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
  11. Roketi ya Elon Musk itagongana na mwezi

    Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika anga za juu mwaka 2015, lakini baada ya kukamilisha safari yake, hakikuwa na mafuta ya kutosha ya...
  12. Hezbollah ililenga roketi 20 Israel kama majibu ya roketi zilizolengwa katika ardhi ya Lebanon

    Hizbullah: Shambulio la Muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni ni jibu kwa uchokozi wake Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema: shambulio la maroketi lililofanywa jana asubuhi kulenga ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel), lilikuwa jibu mwafaka kwa uchokozi wa siku ya...
  13. Kabul, Afghanistan: Roketi zatua karibu na Ikulu, Rais Ashraf Ghani aendelea na sala ya Eid bila kupagawa

    Tarehe 20 Julai, 2021, takribani roketi tatu zilitua karibu na ikulu ya rais wa Afghanistan huko Kabul wakati Rais Ashraf Ghani alipokuwa akisali sala ya Eid al-Adha. Ingawa hakukuwa na majeruhi waliotokana na kutua kwa roketi hizo, kilichonifanya kuwa interested na tukio hili ni pale Rais...
  14. Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
  15. Hatimaye mabaki ya roketi ya China yatua bahari ya hindi

    Mabaki ya roketi ya China yametua kwenye bahari ya hindi magharibi mwa nchi ya Maldivies pasipo madhara yoyote kwa binadamu kama China yenyewe ilivyosema.Naona USA kabaki hoi.Chanzo cha habari kwa mashirika yote ya habari ni kutoka China kwenyewe. ===== Mabaki ya roketi ya China yalipuka na...
  16. Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ