role model

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu kuwa Role Model

    Mpo salama Kabisa! Ukiona watoto au kijana ambaye ni fuata mkumbo, fasheni, mfuasi na kawageuza Wasanii wa Muziki, Drama, na Filamu kuwa Role model ujue tayari mzazi au mlezi kuna mahali amefeli. Na ili umfelishe mtu yeyote au Jamii yeyote itakupasa uwape nguvu Wasanii wa drama, Filamu na...
  2. M

    Viongozi wangu wa Simba, ondoeni kirusi Chasambi ndani ya timu yetu, msikilizeni akimsifia Max Nzengeli na kudai Simba hakuna role model wake

    Ladrack Chasambi leo amehojiwa na mwandishi na akaulizwa ni mchezaji gani kwake ni role model, yeye kwa kujiamini akauliza ndani ya timu yangu au kokotę, akaambiwa ndani ya Simba akasema hapana, akasema role model wake ni Mac Nzengeli. Sasa Chasambi wewe kwa mpira gani uliokuwa nao hadi leo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kama kijana mdogo angekuja kuniuliza kuwa ni mhusika gani kwenye Biblia awe role model wake, mimi ningemchagulia mhusika huyu

    KAMA KIJANA MDOGO ANGEKUJA KUNIULIZA KUWA; NI MHUSIKA GÀNI KWÈÑYE BIBLIA AWE ROLE MODEL WAKE. MIMI NINGEMCHAGULIA MHUSIKA HUYU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Leo sitaki kugombana na Mtu. Sitaki kumkera Mtu yeyote. Siko na mood ya kuchokozana Wala kurushiana maneno. Ingawaje kwangu it's...
  4. and 300

    Doto Magari Vs Mauki

    1. Wadau hawa wote (Doto na Dr Mauki) ni watu Maarufu nchini a.k.a Influencers. 2. Ukiniuliza mimi nani anastahili kupigiwa mfano kwa kupambana kimaisha na kuwa role model wa vijana naweza kusema tofauti na matarajio ya wengi. Nini maoni yako?
Back
Top Bottom