Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce Cullinan 2021
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Natumaini wote mko poa mkiendelea vyema kulipia tozo za miamala. Hakika uzalendo hauepukiki. Leo nitaongelea jambo ambalo sikupenda kabisa kutia neno kwa sababu uzito wake ni mdogo sana kitaifa...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.
Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond
At this point kuna mawili
1) Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.